Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amewaasa maafisa usafirishaji (bodaboda) kujitokeza kwa wingi katika zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Ramsey amesema baada ya bodaboda kupiga kura, wanapaswa kuendelea na shughuli zao huku wakihamasisha abiria...