Wakuu,
Fisiemu hatujaacha kukusanya saini banaa! G55 aibu yenu :BearLaugh: :BearLaugh:Watanzania tutafikisha saini milioni 30 afu tukae paleee tuwacheki chama cha mambuzi mnavyopaparuka
Soma > Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi...