Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kukishtaki chama mahakamani kwenda kukiua bali kukiimarisha ili ifanikiwe, na wanaokumbatia na kumtafuta Hamad atoe matamko ndio wana lao...