Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Safia Jongo akizungumza.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limesema kuwa Machi 29, 2026 saa nne asubuhi lilitokea tukio la kutitia kwa Maduara manne ya uchimbaji madini katika Mgodi wa dhahabu wa Msasa uliopo Kata ya Runzewe wilayani Bukombe mkoani humo.
Mmoja wa...
Picha mbalimbali zikimuonesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, akikagua gwaride na kuzungumza na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali katika viwanja vya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Geita, Oktoba 20, 2025.
Ukaguzi huo ni sehemu ya tathmini ya mifumo ya utendaji...