📌
1. Unatafuta Pesa Haraka, hutengenezi Mfumo wa Kipato wa Kudumu
Unataka milioni ndani ya wiki — badala ya kutengeneza njia ya kuingia milioni kila week /mwezi mfululizo kwa miaka.
📉 Dalili:
• Unarukia kila fursa mpya: crypto, forex, betting, pyramid schemes.
• Hutaki kujenga biashara au...