Aliye wahi kuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 alifanikiwa kuwahamasisha watu milioni 4 kutoka eneo la Mlima Kenya kumpigia kura William Ruto, hatua iliyomsaidia kupata urais.
Hata hivyo, Gachagua amesema mambo yamebadilika, na sasa ana...