ruti ndefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ruti ndefu zaidi ndani mkoa mmoja hapa Tanzania

    Nimepita hii ya Morogoro mjini kwenda Malinyi ni mwendo wa kutwa nzima kwa gari. Nadhani hii ni moja ya ruti ndefu inayopatikana Tanzania ndani ya mkoa mmoja. Ruti gani ndefu zaidi ndani ya mkoa mmoja? Tupe uzoefu wako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…