Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli.
Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika kura na maoni za UWT, mbunge wa Kondoa alipewa kazi ya kusafirisha wajumbe kutoka maeneo yote kwenda...
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
Wakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya...
Wananchi wa mkoa wa Dar es salama wameandamana mpaka kwenye ofisi zao, wakilalamika juu ya Rushwa, na kuiba kura kwa baadhi ya watinia nia ya uchanguzi wa serikali za mitaa.
Swali je, TAKUKURU hawana meno kwa CCM? Chanzo East Africa Tv.
=======
Wanachama wa chama cha Mapinduzi kutoka...