Wasalaam ndg zangu
Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri
Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi TIA zimekithiri sana na NACTVET ipo kimya.
For instance kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu...