Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimetangaza kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na vitendo vya rushwa katika harakati za kuwania nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza wakati akikagua ukarabati wa...
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...