rubani wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
  2. Viwango vya Marubani na uzoefu wa saa za Ndege

    Umewahi kujiuliza jinsi marubani wanavyopanda ngazi katika taaluma yao? Hapa kuna muhtasari wa viwango vya marubani kulingana na uzoefu wao wa kuruka angani! ✈️👨‍✈️ 🎓 Hatua ya Mafunzo: 🟩 Rubani Mwanafunzi (0 - 20 Saa) – Anaanza mafunzo ya msingi ya urubani. 🟨 Rubani wa Kawaida (20 - 40 Saa) –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…