Rosemary Mayemba ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema. Alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe kabla uchaguzi haujafutwa ambapo yeye Rose anadai uchaguzi ulikuwa na figisu. Sio lengo langu kujadili hizo figisu isipokuwa nataka watu wajue hali halisi ilivyo hapa Njombe.
Rosemary Mayemba kama mjumbe...