Aliyekuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita, Rose Vicent Busiga leo Juni 30, 2025 amechukua na kurejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupitishwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbogwe katika uchaguzi mkuu Wa mwaka huu 2025.
Zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu...