Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limejikuta katikati ya lawama nzito baada ya kashfa ya uchaguzi wa wachezaji wa kuwakilisha taifa katika mashindano ya eFootball World Cup 25.
Yaani badala ya kuchagua mabingwa wa kweli wanaopatikana mitaani—wale wanaojulikana kwa uwezo wa ajabu kwenye...