Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) imeanza uchunguzi wa mtindo wa maisha wa bilionea Richard Amarh-Quaye baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya kuzaliwa yenye iliyogharimu dola milioni 2, ikihusisha safari ya ndege binafsi.
Soma: Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye...