rekebisha usukani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, huu usukani naweza kuurekebisha ukakaa sawa?

    Hii gari iligonga, baada yakugonga nikama AIR BAG ilitaka kuchomoka lkn haijachomoka. Kuna fundi amenishauri ninunue usukani mwingine lakini kwa macho yangu mimi japo sio fundi naona kama panarekebishika japo sina uhakika, sasa nimeleta kwenu watalamu mnishauri. Nipo Mbeya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…