Mbaraza UWT Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Ya Uchumi, Mipango Na Fedha Na Kamati Ya Mawasiliano Kwa Umma UWT Taifa, Mkurugenzi Mtendaji wa Kasibante Fm Radio na Zachwa Investment LTD Bi. Reginah Samwel Zachwa ametia nia kugombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma...