Najaribu kuunganisha doti kwa yaliyowatokea waandamanaji Tunduma na Mkuu wa Mkoa aliyepo huko! wenye D mbili mtanielewa!
Je, muungano wetu unaruhusu MZANZIBARI kuwa MKUU WA MKOA BARA?
Na je, what if aliwekwa huko kwa kazi maalum ambayo ndio imeanza kukamilika tokea 29 Oct?