I will be short
1. Yanga amna kocha
2 . Conte wenge nyingi sana anaitaji game time
3. Ecu sio mchezaji mzuri ni mchezaji machachali
4. jezi ni mbaya may be za mazoezi
5 . Pacome ni mtu hatari sana sana
6 . Bonyeli ni bonge Kama foward la Simba lile nene Kama tofari
7 . Chikola na...