raus samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwanini hamuutaki huu utawala wa Rais Samia? Nawauliza na mseme ukweli

    Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala? Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu. Tatizo nini?
  2. Rais Samia tuvushe, matokeo tumeyaona

    RAIS SAMIA TUVUSHE,MATOKEO TUMEYAONA . Na.Amon Nguma. Uhai na uendelevu wa viumbe hai na jambo lolote lile Duniani halitegemei uzao tu au mwanzo wake bali ni uwezo mkubwa wa kulinda uhai wa kiumbe au jambo hilo, kulea na kuendeleza katika hatua zote za makuzi/maendeleo mpaka kufikia hatua ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…