Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, kuwa maelekezo ya Rais Samia kuhusu upangaji na upimaji wa ardhi yamefanikiwa kwa kiwango cha...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza.
Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70
Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...