rais wa iran

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
  2. Rais wa Iran akitembea huru na kuhudhuria maandamano makubwa huko Tehran leo 13/03/2026

    Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums 1. Serikali ya Iran haipendwi 2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA. 3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi. 4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au...
  3. Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  4. U

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

    We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025) A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
  5. Rais wa Iran: Kulikuwa na mapungufu ya Kiusalama wakati wa vita na Israel

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel. Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo. Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran. Wakati wa vita va siku 12...
  6. Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
  7. Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua!!!

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini walishindwa," bila kutoa tarehe maalum ya jaribio la madai. Alidai kuwa Israel, sio Marekani, ndiyo...
  8. Rais wa Iran agoma Kusaini sheria kali ya mavazi

    Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na kuonesha nywele. Pia sheria hiyo imepiga marufuku mavazi ya suruali au nguo za kubana kwa wanawake...
  9. Rais wa Iran asema nchi yake haitaki kuwa sababu ya machafuko Mashariki ya Kati, raia wapanga foleni kununua bidhaa kwa hofu

    Marekani nayo imeiomba Israel isipige maeneo ya nyuklia. Huyu rais wa Iran angeyasema haya kabla hawajatuma makombora, japo yalipanguliwa yote kiasi cha kutomdhuru mtu yeyote Israel. Majibu yanakuja, muda wowote, raia wa Iran wanaweweseka kwenye mafoleni ya kusaka mafuta na bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…