Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, amewataka vijana wa Algeria wanaoishi nje ya nchi katika mazingira magumu na bila vibali halali kurejea nyumbani, akiahidi kurasimisha hali zao kisheria, ikiwemo kwa wale waliotenda makosa madogo katika nchi wanazoishi. Serikali imesema baadhi ya vijana hao...