Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro, jijini Luanda, leo Aprili 7, 2025 kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Angola.
Ziara hiyo imefanyika kwa mwaliko wa Rais wa Angola, João Manuel Gonçalves...