Picha mpya ya maafisa wa Jeshi la Zimbabwe imeibua mjadala mkubwa kuhusu mabadiliko ya haraka ndani ya uongozi wa kijeshi, yanayoonekana kuimarisha ushawishi wa Rais Emmerson Mnangagwa.
Maafisa tisa wamepandishwa vyeo kutoka Meja hadi Luteni Kanali, akiwemo Sean Mnangagwa, mtoto wa Rais, jambo...