All I know is that " Huwezi kujua kama hujui kitu mpaka utakapokutana na watu wengine waliopo kwenye field yako wakashare some tips ambazo wewe unajikuta huzijui ndio utajua kuwa aah! kumbe hiki nilikuwa sikijui"
Maana yake nini, ukiamua kujifungia peke yako mda mwingi pasipo kujichanganya na...