pumzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchungaji Lusekelo pumzika, acha vijana wafanye kazi

    Watu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya. Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia...
  2. Pumzika kwa amani Father Privatus Karugendo

    Huwa sijajua hadi leo kati ya tabia na mazoea ni kipi kilimtangulia mwenzake. Kwenye makuzi yangu nilikua katika mazingira ya usomaji kwa kuwa baba yangu ni mpenzi msomaji wa vitabu pamoja na maandiko mbalimbali. Alikuwa ni msomaji wa gazeti la Rai Mwema ambalo lilikuwa likitoka kila alhamisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…