Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na bilionea wa Afrika Kusini, Patrice Motsepe, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kisheria nchini Tanzania, katika kesi yenye thamani ya takriban dola milioni 195 sawa na Tsh. 490.7 Bilioni, inayohusiana na mgogoro wa uwekezaji katika mradi wa uchimbaji wa...