Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea.
Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe...