Shirika la ndege la Precision Air limekanusha habari iliyochapishwa na Sauti kubwa tarehe 29/12/2020 yenye madai ya kwamba kutokana na athari za janga la COVID-19 shirika hilo, lipo mbioni kuacha kufanya biashara katika robo ya kwanza ya mwaka 2021, kuachisha kazi marubani 50 na kwamba hivi sasa...