Wakati wapo hawa jamaaa MASOUD CZA na FETTY walikua wa hoja walikua na hamasa ya kipindi na walikua wana match sana na muda wa asubuhi akili ya kila msikilizaji iko fresh ila hawa waliopo akina NTIBA na wenzake hamna cha maaana wanaleta, hakuna specific objectives wala uchambuzi wa hoja wa maana...