polisi vs ujambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Kulikoni polisi kuingia Kisutu na mask za majambazi? Je, hiyo ni sehemu ya sare yao? Kama sio kwanini wazivae?

    Wakuu, Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao! Nilijiuliza mengi sikupata majibu! Kwanini wavae vile wakati zinahusishwa na matendo ya kiuhalifu? Kwanini wajizibe sura kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…