Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania.
Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na...