Salamu ndugu zangu,
Nakumbuka kuna siku nilileta bandiko linalohusu kuomba ambulance kwa ajili ya kumpakia mke wangu endapo angepata changamoto usiku, japo sikupewa ila nashukuru Mungu uchungu ulimpata mchana kwa hiyo ilikuwa rahisi kupata usafiri kwa kumfikisha hospitali, Vijibweni kwa upande...