Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu,
Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa nilinunua 10gm nikaotesha kwenye kitalu japo nilichelewa kuziamisha lakini zilienda vizuri shida...