pika kwa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  2. Waziri wa Nishati, Biteko: Kwa Tsh. 352 unapika mlo mmoja kwa Umeme. Tanzania bado tuna ziada kubwa ya Umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma amesema bado kuna ziada kubwa ya Umeme nchini ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…