Hawa viumbe wanaitwa Penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.
Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa...