patrick asenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Patrick Assenga ahaidi kitita cha Sh. Milioni 1 kwa atakeyeonesha video yake akifukuzwa kwenye kikao cha Jimbo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Segerea Mkoani Dar Es salaam, Bw. Patrick Asenga amesema taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa amefurushwa kwenye kikao cha Jimbo hilo Jumatatu Aprili 14, 2025 ni taarifa potofu, akiahidi kutoa Shilingi Milioni 1 kwa...
  2. PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliokaa tarehe 14 April Mwaka 2025 Jimbo la SEGEREA kwa pamoja wamemfukuza aliyekua Mwenyekiti wao wa Jimbo hilo Bw. Patrick Asenga kwenye kikao kwa kuwa ni sehemu ya watu wanaopinga ajenda ya CHADEMA inayoitwa NO REFORMS NO ELECTION. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  3. PreGE2025 CHADEMA Msimbazi yamtaka Patrick Asenga ajieleze kwa kupinga Agenda ya 'No Reforms, No Election' mtandaoni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa mbalimbali ambazo Mwanachama huyo amezitoa kwenye mitandao ya kijamii akionesha kwenda kinyume na msimamo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…