pape thiaw

Pape Bouna Thiaw (born 5 February 1981) is a Senegalese professional football coach and a former player who played as a forward. He is the manager of the Senegal national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. CAF yamwadhibu kocha wa Senegal – Pape Thiaw

    CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”. Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa. CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji. My take: Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha...
  2. Kocha wa Senegal Pape Thiaw awaomba radhi wanasoka

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal Pape Thiaw ameomba radhi mashabiki wa soka baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) kumalizika wakiibuka mabingwa. "Hatukukubali kilichotokea sitaki kuchunguza matukio yote, Ninaomba radhi kwa soka" - Pape Thiaw Kocha Pape Thiaw...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…