papa mpya apatikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Historia ya Papa Mpya Robert Francis Prevost

    HUYU NDIYE PAPA MPYA. Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, Anachukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake mnamo Mei 8, 2025, kunamfanya kuwa Mmarekani wa kwanza kushika wadhifa huu katika historia ya miaka...
  2. Uchaguzi wa Papa: Kutoka Moshi Mweupe hadi 'Habemus Papam'

    Tunatoa mtazamo wa kina wa kile kinachotokea ndani ya Sistine Chapel katika muda mfupi kabla ya kuonekana kwa moshi mweupe, na kile kinachofanyika kabla ya tangazo linalotolewa na Kardinali Protodeacon Dominique Mamberti kutoka Loggia ya Baraka za Kanisa kuu la Mtakatifu Petro, wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…