Historia ni kama albamu ya zamani; hakuna kitu kipya, ni picha zinazojirudia. Hata kukamatwa kwa Nicolás Maduro na Marekani wala si suala geni kihivyo.
Kurasa zote za habari hivi sasa zinafuatilia kilichotokea Venezuela. Wengi wameliona tukio hili kama la kushangaza baada ya Rais wa Marekani...