TAARIFA KWA UMMA:Kutoonekana kwa Mfanyakazi wa Chuo Padre Camilus Nikata.Tunaendelea kumuomba Mwenyezi Mungu amkinge na maovu yote, amwimarishia ulinzi na kumwongezea usalama Padre Nikata
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) kimepokea kwa mshutko mkubwa taarifa iliyotolewa na...