padre dr. camilius nikata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SACP Marco Chilya: Padre Nikata hakuwa ametekwa bali alikuwa ‘amejiteka' kutokana na msongo wa mawazo

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) - Mwanza, aliyeripotiwa kupotea mnamo tarehe 09 Oktoba 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…