oscar ishengoma kikoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mbunge wa Muleba Kusini adaiwa kugawa fedha kwa wananchi

    Wakuu! Kuna hii video ya Mbunge wa Muleba Kusini anayedaiwa kugawa fedha kwa wananchi. Baada ya miaka mitano, leo Mbunge huyo, Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, amerudi jimboni na anawagawia wananchi elfu kumi, kumi. Kilichoniuma zaidi ni kuwaona wananchi wakikubali kupanga foleni ili wapewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…