Tension ilitanda Kisumu baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa hired goons kujaribu kuvuruga church service iliyohudhuriwa na Siaya Governor James Orengo pamoja na Nairobi Senator Edwin Sifuna.
Kwa mujibu wa video zinazosambaa mtandaoni, kundi hilo halikufanikiwa kuingia ndani ya kanisa baada ya...