Wahenga walisema "maji yaliyotulia Yana kina kirefu" CCM NI MAJI YALIYOTULIA"
Nashangaa kuona wapinzani wapo busy na kufatilia habari za uchambuzi wa wagombea wa ubunge na udiwani wa CCM huku wanaamini No Reform no Election sijui ni akili ya namna gani hii.
Tuliwaambia CCM ni dude kubwa...
Wenyewe wanajinasibu kuwa oktoba ni kutiki tu na wala sio kuchagua.
Hii nini maana yake? Wana matokeo yote ya uchaguzi kuanzia rais, mbunge hadi diwani. Zoezi lililobakia ni kutiki tu.
Chadema ya Lissu ipo sahihi kabisa.