Wakuu...
Kuna ki mia mbili cha slots kimeandikwa
Tanzania nimedodosa dodosa wamenambia nicha kwenye bonanza...
Hapa nikienda kufanya exchanga napata hata shingapi?
Nb. Mimi mzaburi sichezagi mabonanza na kukitupa sitaki maana siwezi tupa hela japokuwa niya ubatili.