Achana na siasa, leo nimeshangaa kuona nyuzi za ajira humu JF hazipati engagement kabisa japo watu wanalalamikia kuwa majobless na ugumu wa maisha. Kwani shida ni nini?
Kama mdau wa uandishi wa nyuzi za masihara, mapenzi na mahusiano ambazo huwa zinapata uchangiaji mkubwa wa wanajukwaa...