nyonga

Bali Nyonga is a town in the Northwest Region of the country Cameroon on the West Central borders on the continent of Africa. It is the home of the Bali Nyonga, a people of the Chamba Leko group - an entity that migrated from Chamba around 1600. Their language is known as mungaka.

View More On Wikipedia.org
  1. Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo ndani na nje kwenye misuli ya kuja kuunga na kiuno ina kuwa kama inakaza, kuna dawa ya asili ambayo...
  2. Aliyefanyiwa upasuaji wa nyonga na goti aishukuru MOI kwa Huduma Bora

    “Nilikuwa na changamoto ya nyonga na magoti kwa muda wa miaka 8, baada ya kufanyiwa upasuaji huo na Madaktari Bingwa kutoka MOI sasa naendelea vizuri” Bi. Apaikunda Massawe Mkazi wa Arusha
  3. O

    Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar

    Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye...
  4. MOI yasema kuna ongezeko la Wagonjwa wa Nyonga na Magoti Nchini

    TAASISI ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford cha Uingereza, imefanya upasuaji wa nyonga na magoti kwa wagonjwa 20, wakiwamo nane wa marudio. Wakati hayo yakifanyika, taasisi hiyo imesema kuna ongezeko la tatizo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…