Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati...